March 14, 2025
Dear Stakeholder,
Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) and its affiliates will implement carbon project activities in Tanzania for the proposed Gold Standard Programme of Activities (PoA) ‘Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa’. The proposed projects are being developed with the objective of displacing the use of traditional, low-efficiency cookstoves in households in Tanzania. This will be achieved through the distribution and installation of modern & metered cooking devices (including electric induction cookstoves).
The PoA will be managed by ECCS1 and its appointed affiliates. In this context, a series of Local Stakeholder Consultation (“LSC”) live meetings have been planned in Tanzania. The LSC meetings will be carried out to gather feedback from all local, affected, and interested stakeholders, including non-governmental organizations, women's groups, research institutes, organizations/individuals working on topics related to the project activity, policymakers at the national and state levels, as well as local people, communities, and representatives who are directly or indirectly affected by the project.
Please note that this Local Stakeholder Consultation would also be valid for any other Voluntary Project Activities (VPAs) implemented later in Tanzania under the proposed PoA “Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa,” provided that the VPAs are homogeneous, i.e., deploy the same stove type(s), target the same end-users, and consist of the same project boundary.
ECCS1 invites all interested parties to attend one of the following Local Stakeholder Consultation meetings:
Ilala
Date: 23rd April 2025
Venue: Maranta Hall
Location: Msimbazi Center, Kigogo Road, Dar es Salaam, Tanzania
Ubungo
Date: 24th April 2025
Venue: Victorious Genesis Hall
Location: Kimara Temboni, Morogoro Road, Dar es Salaam, Tanzania
Temeke
Date: 25th April 2025
Venue: Ruta Hall
Location: Kurasini, Dart Bus Stop - JKT, Kilwa Road, Dar es Salaam, Tanzania
Stakeholders who cannot physically attend the meeting have the possibility to participate online through Zoom. The login details are as follows:
Ilala
Date: 23rd April 2025
Venue: Maranta Hall
Location: Msimbazi Center, Kigogo Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Ubungo
Date: 24th April 2025
Venue: Victorious Genesis Hall
Location: Kimara Temboni, Morogoro Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Temeke
Date: 25th April 2025
Venue: Ruta Hall
Location: Kurasini, Dart Bus Stop - JKT, Kilwa Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Please find attached a Non-Technical Summary of the project.
In case of any questions or for further details and project information prior to the consultation, please write to us via email:
Stanley Kahira, Project Manager - Carbon Operations, Africa stanley.kiriungi@burnmfg.com
AGENDA OF THE LOCAL STAKEHOLDER CONSULTATION LIVE MEETING:
Mpendwa Mdau,
Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) na washirika wake watatekeleza shughuli za mradi wa kaboni nchini Tanzania kwa ajili ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard (PoA) uliopendekezwa uitwao ‘Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa’ au ‘Mpango wa Suluhisho Madhubuti la dMRV wa Kupika kwa Umeme Afrika’. Miradi hii inapendekezwa kwa lengo la kuondoa matumizi ya majiko ya jadi yasiyo na ufanisi katika kaya za Tanzania. Hii itafanikishwa kupitia usambazaji na usakinishaji wa vifaa vya kisasa vya kupikia vyenye mita (ikiwa ni pamoja na majiko ya induction ya umeme).
PoA hii itasimamiwa na ECCS1 na washirika wake walioteuliwa. Katika muktadha huu, mfululizo wa mikutano ya Mashauriano na Wadau wa Ndani (LSC) imepangwa kufanyika nchini Tanzania. Mikutano ya LSC itaendeshwa ili kukusanya maoni kutoka kwa wadau wote wa ndani, walioathirika na wanaovutiwa na mradi huu, wakiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali, vikundi vya wanawake, taasisi za utafiti, mashirika na watu binafsi wanaofanya kazi katika nyanja zinazohusiana na mradi, watunga sera wa ngazi ya kitaifa na majimbo, pamoja na wananchi, jamii na wawakilishi wao walioathirika moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja na mradi huu.
Tafadhali fahamu kuwa mashauriano haya ya wadau wa ndani pia yatatumika kwa miradi mingine yoyote ya Hiari (VPAs) itakayotekelezwa baadaye nchini Tanzania chini ya PoA iliyopendekezwa ‘Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa’, mradi tu VPAs hizo ziwe sawa kimuundo, yaani, zitumie aina zilezile za majiko, zilenge walengwa wale wale, na ziwe ndani ya mipaka ile ile ya mradi.
ECCS1 inawaalika wadau wote wenye nia ya kushiriki kuhudhuria moja ya mikutano ifuatayo ya Mashauriano na Wadau wa Ndani:
Ilala
Date: 23rd April 2025
Venue: Maranta Hall
Location: Msimbazi Center, Kigogo Road, Dar es Salaam, Tanzania
Ubungo
Date: 24th April 2025
Venue: Victorious Genesis Hall
Location: Kimara Temboni, Morogoro Road, Dar es Salaam, Tanzania
Temeke
Date: 25th April 2025
Venue: Ruta Hall
Location: Kurasini, Dart Bus Stop - JKT, Kilwa Road, Dar es Salaam, Tanzania
Wadau ambao hawawezi kuhudhuria mkutano ana kwa ana wana fursa ya kushiriki mtandaoni kupitia Zoom. Maelezo ya kuingia ni kama ifuatavyo:
Ilala
Date: 23rd April 2025
Venue: Maranta Hall
Location: Msimbazi Center, Kigogo Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Ubungo
Date: 24th April 2025
Venue: Victorious Genesis Hall
Location: Kimara Temboni, Morogoro Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Temeke
Date: 25th April 2025
Venue: Ruta Hall
Location: Kurasini, Dart Bus Stop - JKT, Kilwa Road, Dar es Salaam, Tanzania
Meeting Link: Zoom Registration
Tafadhali angalia muhtasari wa mradi usio wa kiufundi uliowekwa kwenye kiambatisho hiki (AMBATISHA NTS YA MRADI).
Ikiwa una maswali yoyote au unahitaji maelezo zaidi kuhusu mradi kabla ya mashauriano, tafadhali tuma barua pepe kwa:
Stanley Kahira, Meneja wa Mradi - Uendeshaji wa Kaboni, Afrika
stanley.kiriungi@burnmfg.com