April 04, 2025
BURN Manufacturing Co. is implementing carbon project activities in Kenya under the Gold Standard Programme of Activities (PoA) ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’. On the 3rd to 7th March 2025, BURN invited stakeholders to the Local Stakeholder (LSC) meetings where the project and its impacts were introduced, and comments and feedback sought from participants.
This is to invite you, our esteemed stakeholder, to the Gold Standard Stakeholder Feedback Round of the project (SFR). Please find attached the Non- Technical Summary and Local Stakeholder meeting summary report in English and Swahili for your review. Kindly let us know if you have any further comments or feedback.
These documents can also be found at Burn Manufacturing, Ruiru office at New Horizons Industrial Park Go Downs 8-11, Ruiru or Call us on 0800 721 337 Burn Customer care line.
Please send us your feedback by 4th of May 2025 to BURN Project manager via email felistus.kithome@burnmgfg.com
Mpendwa Mshiriki,
BURN Manufacturing Co. inatekeleza shughuli za mradi wa kaboni nchini Kenya chini ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard (PoA) uitwao ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’. Kuanzia tarehe 3 hadi 7 Machi 2025, BURN iliwaalika wadau kwenye mikutano ya Wadau wa Ndani (LSC) ambapo mradi na athari zake zilitambulishwa, na maoni pamoja na mrejesho zilitafutwa kutoka kwa washiriki.
Tunayo furaha kukualika wewe, mshiriki wetu wa thamani, kwa Mzunguko wa Maoni ya Wadau wa Gold Standard wa mradi huu (Stakeholder Feedback Round - SFR). Tafadhali pata Muhtasari Usio wa Kiufundi (Non-Technical Summary) na ripoti fupi ya mkutano wa Wadau wa Ndani (Local Stakeholder meeting summary report) kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa ajili ya mapitio yako. Tafadhali tujulishe ikiwa una maoni au mrejesho wowote wa ziada.
Hati hizi pia zinapatikana katika ofisi ya Burn Manufacturing, Ruiru, katika New Horizons Industrial Park Go Downs 8-11, Ruiru au piga simu kwa huduma kwa wateja kupitia namba 0800 721 337.
Tafadhali tutumie mrejesho wako ifikapo tarehe 4 Mei 2025 kwa Meneja wa Mradi wa BURN kupitia barua pepe felistus.kithome@burnmgfg.com.