May 23, 2025
Dear Stakeholder,
Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) and its affiliates are implementing carbon project activities in Tanzania under the Gold Standard Programme of Activities (PoA) “Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa”. On the 23rd-25th April 2025, Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) and its affiliates invited stakeholders to the Local Stakeholder (LSC) meetings where the project and its impacts were introduced, and comments and feedback sought from participants.
This is to invite you, our esteemed stakeholder, to the Gold Standard Stakeholder Feedback Round of the project (SFR). Please find attached the Non- Technical Summary and Local Stakeholder meeting summary report in English and Swahili for your review.
Kindly let us know if you have any further comments or feedback.
These documents can also be found BURN Manufacturing Tanzania Office, Warehouse No.1 , Plot No.544/1 Kawe Beach, P.o box 35792, Mwai Kibaki road, Dar es Salaam
Please send us your feedback by 23rd of June 2025 to BURN Project manager, via email felistus.kithome@burnmgfg.com
Swahili Version
Mwaliko wa Mzunguko wa Maoni kutoka kwa Wadau kwa Ajili ya Shughuli za Mradi wa Hiari wa Tanzania (VPAs) chini ya Mpango wa Gold Standard PoA: “Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa’
Mpendwa Mdau,
Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) na washirika wake wanatekeleza shughuli za miradi ya kaboni nchini Tanzania chini ya Mpango wa Shughuli (PoA) wa Gold Standard uitwao “Effective Electric dMRV Cooking Solutions Program for Africa”. Kuanzia tarehe 23 hadi 23 Aprili 2025, kampuni ya Effective Climate Solutions 1 FZCO (“ECCS1”) na washirika wake waliwaalika wadau kushiriki katika mikutano ya Wadau wa ndani (LSC) ambapo mradi pamoja na athari zake uliwasilishwa, na maoni na mrejesho kutoka kwa washiriki yalitafutwa.
Kwa heshima kubwa tunakualika wewe, mdau wetu wa thamani, kushiriki katika Mzunguko wa Maoni kutoka kwa Wadau wa Gold Standard (SFR) kwa ajili ya mradi huu. Tafadhali tafuta kiambatanisho cha Muhtasari Usio wa Kiufundi na ripoti ya mkutano wa Wadau wa Ndani, kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili, kwa ajili ya mapitio yako.
Tafadhali tujulishe ikiwa una maoni au mrejesho wa ziada.
Nakala za nyaraka hizi pia zinapatikana katika Ofisi ya BURN Manufacturing Tanzania Office, Warehouse No.1 , Plot No.544/1 Kawe Beach, P.o box 35792, Mwai Kibaki road ,Dar es Salaam
Tafadhali tuma mrejesho wako kabla ya tarehe 23 Juni 2025 kwa Meneja wa Mradi wa BURN kupitia barua pepe: felistus.kithome@burnmgfg.com
Tunashukuru kwa ushirikiano wako.