January 31, 2025
BURN will be implementing Voluntary Project Activities (VPAs) in the Republic of Kenya under the “ECOA_BURN Multi-Country Clean Cooking Programme.” The Gold Standard Programme of Activities (PoA) is being managed by BURN. In this context, a Local Stakeholder Public Consultation will be carried out for all local, affected and interested stakeholders. This includes non-governmental organizations; women’s groups; research institutes and organizations/individuals working on topics related to the project activity; policy makers on a national and state level; and local people, communities and/or representatives directly or indirectly affected by the project.
Please note that this Local Stakeholder Consultation would also be valid for any other VPAs implemented in the Republic of Kenya under BURN’s Gold Standard PoA “ECOA_BURN Multi-Country Clean Cooking Programme,” provided that they are homogeneous (i.e. they deploy the same stove type(s), target the same end-users and consist of the same project boundaries).
BURN (Coordinating and Managing Entity of the PoA) invites all interested parties to attend one of the following Local Stakeholder Consultation meetings. Those who cannot physically attend the meeting have the possibility to participate online through Zoom.
Nairobi Town
Date: 3rd March 2025
Venue: The Clarion Hotel Nairobi- Along Moi Avenue
Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/JHXm0U2oSDuZbNysooo3CQ
Meru Town
Date: 5th March 2025
Venue: Royal Prince Hotel
Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/iNjkAjihSEGHqkYsxVcDDA
Kakamega Town
Date: 7th March 2025
Venue: Milimani Resort
Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/2YjNR-HETW-q-FCUH7_OaQ
Kindly register in advance.
Please find attached a Non-Technical Summary of the project.
In case of any questions or for further details and project information prior to the consultation, please email Felistus Kithome, Carbon Project Manager at BURN (felistus.kithome@burnmfg.com) or call 254723963213.
Please use these contact details also to provide feedback in case you are not able to participate in the stakeholder meeting.
Ushauri wa Wadau wa Ndani wa Shughuli za Mradi wa Kujitolea wa Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) nchini Kenya
Ndugu Mdau,
Kampuni ya BURN Manufacturing Co. itatekeleza shughuli za Mradi wa Hiari (‘VPAs) chini ya Mpango wa Gold Standard , huitwao ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’ katika Jamhuri ya Kenya. PoA inasimamiwa na BURN Manufacturing Co.na katika muktadha huu, Ushauri wa Umma wa Wadau wa Mitaa utafanyika kwa wadau wote wa ndani, walioathirika na wanaovutiwa, pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali, vikundi vya wanawake, taasisi za utafiti na mashirika/watu binafsi wanaoshughulikia mada zinazohusiana na shughuli za mradi, watunga sera katika ngazi ya kitaifa na jimbo na vile vile kwa watu wa ndani, jamii na wawakilishi ambao wameathiriwa moja kwa moja au isivyo moja kwa moja na mradi.
Tafadhali kumbuka kuwa Mashauriano haya ya Washikadau wa Ndani yatatumika pia kwa Shughuli zozote za Miradi ya Hiari (VPAs) zinazotekelezwa katika Jamhuri ya Kenya chini ya BURN's Gold Standard PoA 'ECOA_BURN Multi-country Clean Cooking Programme', mradi aina sawa ya majiko yatasambazwa na watumiaji wa mwisho sawa na yanajumuisha mipaka ya mradi sawa.
BURN Manufacturing Co. (Ofisi ya Kuratibu na Kusimamia ya PoA) inawaalika wahusika wote kuhudhuria moja ya mikutano ifuatayo ya Mashauriano ya Wadau wa Mitaa. Wadau ambao hawawezi kuhudhuria mkutano huo kwa kufika ukumbini, wana uwezekano wa kushiriki mtandaoni kupitia Zoom. Maelezo ya kuhudhuria kupitia mtandao ni haya yafuatayo:
Nairobi County
Tarehe: 3rd March 2025
Ukumbi: The Clarion Hotel Nairobi- Along Moi Avenue
Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/JHXm0U2oSDuZbNysooo3CQ
Meru County
Tarehe: 5th March 2025
Ukumbi: Royal Prince Hotel, Meru
Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/iNjkAjihSEGHqkYsxVcDDA
Kakamega County
Tarehe: 7th March 2025
Ukumbi: Milimani Resort Kakamega
Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/2YjNR-HETW-q-FCUH7_OaQ
Tafadhali ona muhtasari Usio wa Kiufundi wa mradi ulioambatishwa.
RATIBA
Iwapo kuna maswali yoyote au ukitaka maelezo zaidi na maelezo ya mradi kabla ya mashauriano, tafadhali andika Barua pepe kwa Felistus Kithome Menaja wa Mradi wa Kaboni,(felistus.kithome@burnmfg.com) au piga simu kwa Nambari 0723963213.
Tafadhali tumia mawasiliano hayo pia kwa kutoa maoni yako iwapo hutaweza kushiriki katika mkutano wa wadau.