September 05, 2023
Mpendwa Mdau,
ECOA Climate Capital (“ECC”) inayo furaha kukualika katika kikao cha mashauriano kwa wadau wa ndani (“LSC”) cha Mradi wa Shughuli za Kujitolea (“VPAs”) katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. VPA hizi zitatafuta ithibati yake chini ya Programu ya Shughuli ya Gold standard (“PoA”) – “Programu ya ECC ya Nishati Safi ya Kupikia katika Nchi Mbalimbali”
Lengo la VPA ni kuwezesha kufikiwa kwa teknolojia za kisasa za mapishi kwa watumiaji wa mwisho barani Afrika kupitia uletwaji na matumizi ya majiko (stovu) za umeme, hivyo kupunguza ama kubadili matumizi ya kuni ama maranda (mabaki ya mbao) katika kaya, taasisi na biashara ndogo na za kati (SMEs).
Kwa muktadha huu kikao cha mashauriano kwa wadau wa ndani kitafanyika ili kutoa taarifa za msingi kuhusu mradi na na kupata maoni kwa urali huohuo kutoka kwa wadau kwenye maeneo mbalimbali yatakayojadiliwa. Haya yanahusisha wanajamii, mashirika yasiyoya kiserikali, vikundi vya wanawake, taasisi za utafiti, watunga sera kwa ngazi ya taifa. Tafadhali kumbuka kuwa Ushauri huu wa kitaalamu kwa wadau wa ndani utakuwa na uhalali kwa Shughuli zozote za Mradi wa Kujitolea (VPAs) zinazotekelezwa nchini Tanzania na ECOA Climate Capital Gold Standard vya PoA, kupitia “Programu ya ECC ya Nishati Safi ya Kupikia katika Nchi Mbalimbali”; ikiwa yatazingatia usawa/ uwiano kama wa kuleta majiko ya aina ile ile, itawalenga watumiaji wale wale na itakuwa na mipaka sawa/ ile ile ya mradi.
ECOA Climate Capital (chombo cha uratibu na usimamizi cha PoA) inawaaalika wadau wote kushiriki moja kati ya vikao vya wadau wa ndani ya nchi vifuatavyo
Tarehe: 6th October,2023
Eneo: Jamirex Hotel- Mwenge- Dar- es Salaam
Tafadhali kumbuka: Mkutano wa Mashauriano wa ndani wa Dar-es-Salaam utafanyika JAMIREX HOTEL na sio WANYAMA HOTEL kama ilivyoelezwa hapo awali.
Tarehe: 9th October,2023
Eneo: KCC Hotels-Pwani
Tarehe: 11th October,2023
Eneo: Mdope Hotel-Mbeya Region
Wadau watakaoshindwa kufika eneo la kikao wanaweza kushiriki mtandaoni kupitia mtandao wa Zoom:
Tarehe: 6th October,2023
Eneo: Jamirex Hotel- Mwenge- Dar- es Salaam
Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwocu6upzItGdTtAfc8OE7SIadsSoJi0ZqD
Tarehe: 9th October,2023
Eneo: KCC Hotels-Pwani
Kiungo:https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZAvcirpjkpEtekagPxRLyYlwyYbB0J6amQ
Tarehe: 11th October,2023
Eneo: Mdope Hotel-Mbeya Region
Kiungo:https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZUpduiopz8rE9208Mp7UX4w60AqQAek6oLq
Kuunga mkono mashauriano haya, tunakuambatanishia: dodoso la muhtasari usio wa kiufundi kuhusu mradi.
AGENDA
Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu taarifa za mradi tafadhali wasiliana kwa barua pepe na:Peninah Mwende – Carbon PM at Burn : Peninah.mwende@burnmfg.com ama Elisha Tengeni – Tanzania Sales Manager at Burn : Elisha. Tengeni@burnmfg.com
Tafadhali tumia taarifa hizi za mawasiliano kuwasilisha mrejesho ikiwa hautoweza kushiriki katika kikao cha wadau.
Invitation to Local Stakeholder Consultations for Tanzania Gold Standard Voluntary Project Activities (VPAs) under the Gold Standard PoA: “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme.
Dear Stakeholder,
ECOA Climate Capital (“ECC”) is pleased to invite you to a Local Stakeholder Consultation (“LSC”) meeting for its planned Voluntary Project Activities (“VPAs”) in the Republic of Tanzania. These VPAs will seek certification under the Gold Standard Programme of Activities (“PoA”) “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme”.
The objective of the VPAs is to provide access to modern cooking technologies to end-users across Africa through deployment of electric and metered cookstoves, hence reducing or displacing woody biomass consumption for households, institutions and Small and Medium Enterprises (SMEs).
In this context the LSCs will be carried out to provide key project design information and to solicit feedback on the same from a varied cross section of stakeholders. These include local community members, non-governmental organizations, women groups, research institutes policy makers at the National and County level. Please note that this Local Stakeholder Consultation would be also valid for any other Voluntary Project Activities (VPAs) implemented in Tanzania under ECOA Climate Capital Gold Standard PoA “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme”, provided that they are homogeneous, i.e., deploy the same stove type(s), target the same end-users and consist of the same project boundary.
ECOA Climate Capital (Coordinating and Managing Entity of the PoA) invites all interested parties to attend one of the following Local Stakeholder Consultation meetings.
Date: 6th October,2023
Venue: Jamirex Hotel- Mwenge- Dar-es-Salaam
Kindly note: The local Consultation meeting for Dar-es-Salaam will be held in JAMIREX HOTEL and not WANYAMA HOTEL as it was communicated earlier.
Date: 9th October,2023
Venue: KCC Hotels-Pwani
Date: 11th October,2023
Venue: Mdope Hotel-Mbeya Region
Stakeholders who cannot physically attend have the possibility to participate online through zoom:
Date: 6th October,2023
Venue: Jamirex Hotel- Mwenge- Dar- es Salaam
Link:https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwocu6upzItGdTtAfc8OE7SIadsSoJi0ZqD
Date:9th October,2023
Venue: KCC Hotels-Pwani
Link:https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZAvcirpjkpEtekagPxRLyYlwyYbB0J6amQ
Date:11th October,2023
Venue: Mdope Hotel-Mbeya Region
Link:https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZUpduiopz8rE9208Mp7UX4w60AqQAek6oLq
To support this consultation, we are providing you with: A Non – Technical Summary of the project.
AGENDA
For further project clarifications and information please write an email to: Peninah Mwende- Carbon PM at Burn: Peninah.mwende@burnmfg.com or Elisha Tengeni -Tanzania Sales Manager at Burn: Elisha.Tengeni@burnmfg.com.
Please use these contact details to provide your feedback in case you are not able to participate in the stakeholder meeting.