April 07, 2022
Ndugu Mdau,
Mwaliko wa Kushiriki katika Mrejesho wa Maoni ya Wadau kwa Shughuli za Mradi wa Hiari wa Gold Standard Carbon (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’
Kampuni ya BURN Manufacturing Co. inatekeleza Shughuli za Mradi wa Hiari wa Carbon nchini Tanzania chini ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard Program (POA) ECOA_BURN Mpango wa Upikaji Safi wa Nchi Mbalimbali’. Mnamo tarehe 14 hadi 18 Machi 2022, BURN iliwaalika wadau kwenye mikutano ya wadau wa mitaa (LSC) mjini Dodoma, Usangi – Mwanga na Meru- Arusha ambapo mradi na athari zake uliwasilishwa, kuomba maoni kutoka kwa washiriki.
Hii ni kukualika wewe mdau wetu katika Awamu ya Mrejesho wa Maoni ya Wadau wa Mradi wa Gold Standard. Tafadhali jipatie Muhtasari Usio wa Kiufundi ulioambatanishwa kwa Kiingereza na Swahili, Ripoti ya Ushauri ya Wadau wa Ndani kiungo kwenye ripoti ya LSC ya Tanzania na muhtasari wa Ushauri wa Wadau wa Ndani kwa Kiungo kwa muhtasari kwa Kiingereza na kiungo cha muhtasari kwa Kiswahili kwa uhakiki wako. Tafadhali tujulishe ikiwa una ushauri au maoni yoyote zaidi.
Taarifa hizi pia zinaweza kupatikana katika Maeneo yafuatayo:
Au tupigie kwa nambari: +255 743 931 870.
Tafadhali tutumie maoni yako kabla ya tarehe 6 Juni 2022 kwa Ofisa wa Kaboni: Peninah.mwende@burnmfg.com
Burn: tanzania@burnmfg.com
Burn: info@burnmfg.com
Dear Stakeholder,
Invitation to Participate in Stakeholder Feedback Round for Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) ‘Efficient and Clean Cooking for households in Tanzania‘
BURN Manufacturing Co. is implementing Carbon Voluntary Project activities in Tanzania under Gold Standard Programme of Activities (PoA), ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’. On the 14th to 18th March 2022, BURN invited stakeholders to the local stakeholder (LSC) meetings where the project and its impacts were introduced, and comments and feedback sought from participants.
This is to invite you our esteemed stakeholder to the Gold Standard Stakeholder Feedback Round of the project. Please find attached the Non-Technical Summary (in English) and (Swahili), Local stakeholder Consultative Report Tanzania LSC report and the Local Stakeholder Consultative summary in English and in Swahili for your review.
Kindly let us know if you have any further comments or feedback.
These documents can also be found at the following Locations:
Or call us on this number +255 743 931 870.
Please send us your feedback by 6th June 2022 to Carbon Officer: Peninah.mwende@burnmfg.com
BURN: info@burnmfg.com
BURN Tanzania: tanzania@burnmfg.com